by EAGMA
21 Jul, 2025
Tuzo za Muziki wa Injili Afrika Mashariki (EAGMA) ZAFIKIA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO
π‘ "Breaking News "π‘
Tuzo za Muziki wa Injili Afrika Mashariki (EAGMA) ZAFIKIA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO! ποΈπ₯
Hii ni ishara ya kuinuka kwa muziki wa Injili barani Afrika!
Kutoka Afrika Mashariki hadi ulimwenguni kote, nyota wa muziki wa Injili wanang'ara β kama vile kilele cha Kilimanjaro kinavyotawala anga.
EAGMA inawakilisha tumaini, ushindi, na nguvu ya Injili inayozidi kuenea kwa kasi duniani.
"Lakini wale wamngojao Bwana watapata nguvu mpya;..........
β Isaya 40:31
π’ Muziki wa Injili wa Afrika Mashariki wapaa juu hadi mataifa!
ποΈ Vijana wainuka kama vile tai β kwa neema, ujasiri, na wito wa Mungu.
#EAGMAJuuZaidi #InjiliYapaa #AfrikaMasharikiInang'aa #Isaya40:31 #GospelToTheWorl
ππ»ππ»ππ»π₯π₯π₯π₯πͺπͺπͺπͺπͺHallelujah....